Beschreibung
Produktdetails
Einband
Taschenbuch
Erscheinungsdatum
08.08.2022
Verlag
Phoenix PublishersSeitenzahl
86
Maße (L/B/H)
17.8/12.7/0.6 cm
Gewicht
129 g
ISBN
978-9966-47-220-5
Hadithi ya kwanza, Kishu kazi, inamhusu mkulima mwenye bidii, ambaye daima kisu kilikuwa hakimtoki kiunoni, na alipoulizwa, siku zote alijibu "Kishu kazi, kuna siku kindapata kazi." Hata ikawa amebandikwa jina 'Kishu Kazi'. Lakini siku alipovamiwa na wezi, ndipo walishuhudia kikifanya kazi kishu kazi. Hadithi ya Sungura mjanja, kama jina linavyodokezea, inahusu sungura na jinsi anavyojishinda mwenyewe mwishowe kwa werevu wake wa kupindukia kiasi.
Noch keine Bewertungen vorhanden
Verfassen Sie die erste Bewertung zu diesem Artikel
Helfen Sie anderen Kundinnen und Kunden durch Ihre Meinung.