Beschreibung
Produktdetails
Format
ePUB
Kopierschutz
Ja
Family Sharing
Nein
Text-to-Speech
Ja
Erscheinungsdatum
26.03.2021
Verlag
Rainbow Pigeons PressSeitenzahl
376 (Printausgabe)
Dateigröße
737 KB
Auflage
1. Auflage
EAN
9781838206345
Karabo amepona mauaji ya kimbari dhidi ya Watusi mwaka 1994 ambayo yaliyatwaa maisha ya baba yake na wadogo zake. Sasa ameachwa peke yake miongoni mwa mioyo iliyojeruhiwa nchini Rwanda, na hafahamu mahali alipo mama yake.
Karabo alipokwenda kuishi na baba yake mkubwa, ambaye ni kanali kwenye jeshi jipya, anakutana na Shema, mhanga mwingine wa mauaji ya kimbari akiwa miongoni mwa walinzi vijana wa baba yake mkubwa. Tabasamu la Shema linamtetemesha, na Karabo anataka kuusalimisha moyo wake kwake, lakini mambo yanakuwa magumu -- Shema anafahamu sehemu tu ya hadithi yake.
Mioyo Miongoni Mwetu ni simulizi ya mapenzi, chuki, na namna vinavyoingiliana. Karabo na Shema, wote wakiwa yatima wanaoomboleza, wanakulia kwenye jamii iliyochanwachanwa -- ikitekwa katikati ya ulimwengu wa walio hai na wafu, na migogoro baina ya Wahutu na Watusi.
Kundinnen und Kunden meinen
Verfassen Sie die erste Bewertung zu diesem Artikel
Helfen Sie anderen Kund*innen durch Ihre Meinung