Beschreibung
Produktdetails
Format
ePUB
Kopierschutz
Ja
Family Sharing
Ja
Text-to-Speech
Ja
Erscheinungsdatum
21.09.2025
Verlag
MambosasaSeitenzahl
(Printausgabe)
Dateigröße
259 KB
EAN
9798232322588
Yuleyule wasiyempenda amerejea, akija na nguvu na tumaini jipya. Lengo ni kufanikisha kusimamisha utawala wake. Aone dunia ikiwa chini yake, wanadamu wote na viumbe wengine wakimtumikia. Huku Nsungi akiwa malkia wake, aishi na kufanya yale ayatakayo.
Mpango wake unaletwa na tumaini jipya, la uwepo wa nguvu ya ajabu sana. inayoweza kuhatarisha usalama wa dunia ikiwa itakuja kuangukia mikono mibaya. Hiyo ndiyo pekee anayoiota kuipata, toka kwa mtu ambaye aliishikilia. Akiamini wazi ni tumaini lililobaki la kufanikisha lengo lake.
Wapinzani wake na wanaotaka kuona dunia ikiwa sehemu salama. Asiyetakiwa kutawala asiweze kushika uongozi wake. Nao wanashtuka hila zake mpya, wanaamua kupambana naye. wakiazimia kufanikisha mpango wao. Ulimwengu mzima ubaki salama. Kila kiumbe abaki utawala unaomhusu, na asihatarishe maisha ya wengine.
Lifa huyo asiyejua kama kuna msamiati kushindwa, wala kutokuwa na tumaini. Kiumbe wa kijini aliyeishi miaka mingi duniani, aliyekuwa na ndoto isiyofanikiwa kila uchwao.
Noch keine Bewertungen vorhanden
Verfassen Sie die erste Bewertung zu diesem Artikel
Helfen Sie anderen Kundinnen und Kunden durch Ihre Meinung.